Baada ya Uchaguzi mkubwa kufanyika nchini Nigeria, na nafasi ya Urais ilikuwa ikishikiliwa na Mh Goodluck Jonathan ambayo kwa sasa inashikiliwa na Rais Buhari ambaye ameshinda kwa kishindo kikubwa kwenye kura zilizopigwa siku za karibuni na kufanikiwa kuibuka kidedea.Kwenye Mitandao ya kijamii hasa twitter kumekuwa na malumbano kwanini Rais Huyo hakumuonyesha mtoto wake siku ya uchaguzi wakati alivyokuwa akiomba kura kutoka kwa wananchi? Mtoto wa Rais ambaye anajulikana kwa jina la Yusuf ameingia kwenye headline baada ya picha yake akiwa na mpenzi wake kuwa gumzo kwenye mitandao ya kijamii.



Watu wengi wanaamini kama Buhari angemuonyesha mtoto wake kwenye Uchaguzi basi ingeleta ushindi mkubwa kuliko aliyoupata licha ya hilo wasichana wa Nigeria wameanza kumtolea mate na kumsumbua kama ilivyo hapa kwetu bongo ukiwa na star lazima upate ushawishi mkubwa na kusumbuliwa na wanawake. 

Post a Comment

 
Top