Malkia wa Filamu za Kibongo kutoka Kiwanda cha Bongo Movie Wema Sepetu ambaye mwaka jana aliachana Rasmi na Aliyekuwa mpenzi wake msanii wa muziki wa Bongo Fleva anayemiliki Hit single ya Nasema Nawe aliyomshirikisha Malkia wa Taarabu nchini Khadja Kopa, Diamond Platnumz, Licha ya kwa wamechana lakini watu wamekuwa na maswali mengi kama ni kweli Wema hamsi hata kidog Diamond amefunguka kwenye mahajiano na kipindi cha Kabali cha EFM mengi ambayo tulikuwa hatujia kabisa bonyeza PLAY kusikiliza 


15 May 2015

Post a Comment

Emoticon
:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

 
Top