Rapper kutoka Kenya ambaye aliwahi kulifaidi Penzi na Mrembo Huddah Monroe ambapo waliwahi kurushiana matusi ya nguoni na Diva Loveness Love wa Clouds Fm anayetangaza kipind cha Alah za Roho hiyo ni list ambayo Rapper CMB Prezzo aliwahi kufaidi penzi la warembo hawao.
Baada ya kuacha na Huddah Star Prezzo alipata mrembo mwingine ambaye kwa namna moja au nyingine amebadili maisha yake kwakumpa kitu cha heshima ambacho ni kumzalia mtoto hizi ni picha za mpenzi wa Prezzo wakiwa na Mtoto wao.
Post a Comment