Siku chache zilizopita Ameibuka Mtangazania Mdogo Kuliko wote hapa Tanzania ambaye kwa macho ya Haraka Haka anaumri takribani miaka 12 au 13 hivi anajiita Dogo Jembe kwenye mitandao ya kijamii kama Instagram na Facebook hata Twitter pia amefikia amekua akichia vipisi vya video kwenye mitandao ya kijamii akijaribu kuelezea sera zake lakin mwisho wake huwa anatoa kauli kuwa Ikulu sio ya Baba Yako msikilize hapa chini 



Post a Comment

 
Top