banza stone amefariki dunia


Taarifa zilizonifikia Hivi punde kuwa Muumbaji Maarufu wa mziki wa Dansi nchini Ramadhan Masanja Almaarufu kama Banza Stone amefariki Dunia Mapema Leo Hii nyumbani kwao Sinza.Ndugu wa Marehemu amesema kwamba Banza kuanzia siku ya jana hali yake ilikuwa Mbaya na alikata Kauli Ghafla mpaka leo hii Mungu Alipo amua kuchukua Roho yake.

Tunaungana na wanafamilia wote wa Mziki wa Dansi pamoja na mashabiki Kutoa Pole kwa Familia ya Banza Stone 

Mungu Ailaze Roho ya Marehemu Mahala Pema Peponi Amen

Post a Comment

 
Top