Baada ya Mh Edward Ngoyai Lowassa Kukosa nafasi ya kuwania kitu cha urais katika uchagu wa mwaka huu 2015 October kambi rasmi ya upinzani imekuwa ikomkaribisha sana Mh Lowassa ili kujiunga nao Kuing'oa CCM madarakani na moja ya chama icho ni Chadema ambacho waanzilishi wa chama ni pamoja na Mh Freeman Mbowe pamoja na Mh Mtei.

Leo nimefanikuwa kupata Video ya Dr Slaa akichanachana Live Mh Lowassa kwenye moja ya kampeni zake mzikilize hapa chini 

Post a Comment

 
Top