petit man akiwa na mpenzi wake mpya

Mpambe wa Staa Wema Sepetu, Petitman Wakuache baada ya kuachana na aliyekuwa Dada yake na Msanii Diamond Platnumz Esama Platnumz amemtambulisha mpenzi wake Mpya ambaye bado jina lake halijafahamika.Chanzo cha Kuvunjika kwa Ndoa kati ya Esma na Petitman inasemakana ni Wema Sepetu ambapo inasemekana walifikishana mpaka Polisi muda mchache baada ya ugomvi huo kutokea Petitman Alimuanika Mpenzi wake Mpya Tayari.
28 Aug 2015

Post a Comment

Emoticon
:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

 
Top