Ijue Sayansi ya Kusimama na Kusinyaa kwa UUme ( Sayansi ya Nguvu za Kiume)


Ukosefu na/ama upungufu wa nguvu za kiume, ni tatizo linalo wakabili mamilioni ya wanaume duniani.


Tatizo la ukosefu/upungufu wa nguvu za kiume ni nini ?
Ukosefu ama upungufu wa nguvu za kiume ni ile hali ya mwanaume kutokuwa na uwezo wa kufanya tendo la ndoa kwa ukamilifu



Hatua mbili Muhimu katika Kusimama kwa Uume
Ili mwanaume aweze kufanya tendo la ndoa na andelee kufanya tendo la ndoa, ni lazima uume wake upitie hatua kuu mbili kama ifuatavyo :


Hatua ya kwanza, ni lazima uume wake uweze kusimama barabara na kuwa mgumu kama msumari.


Na hatua ya pili ni lazima, uume wake uendelee kusimama kwa muda mrefu wakati wa tendo la ndoa. Hatua zote mbili zinapo kamilika, ndipo tunapo pata kitu kinaitwa STRONGER AND LONGER ERECTION



JINSI HATUA ZA KUSIMAMA KWA UUME ZINAVYO TOKEA.
Jinsi hatua za kusimama kwa uume zinavyotokea

1. Hatua ya Kwanza:


DAMU KUTIRIRIKA KWA KASI KUINGIA NDANI YA MISHIPA YA UUME NA KUUFANYA UUME KUSIMAMA NA KUWA MGUMU.


Unapopata wazo la kufanya tendo la ndoa, mishipa ya fahamu iliyopo kwenye ubongo, hupeleka ishara kwenye mishipa ya uti wa mgongo, ambayo nayo hupeleka taarifa hadi kwenye mishipa ya uume. 

Taarifa inapofika kwenye mishipa ya uume huifanya mishipa hiyo ku-relax na hatimaye kufanya mishipa ya ateri kufunguka na kutanuka. Mishipa ya ateri inapo tanuka na kufunguka, huruhusu damu kuingia kwa kasi ndani ya mishipa ya uume na hivyo kuufanya huume kusimama.


Ni muhimu kujua kuwa, mishipa ya uume inapo relax hupelekea kuisukuma na hatimaye kuiziba mishipa ya vena iliyo karibu na mishipa ya uume na hivyo kuiondolea uwezo wa kunyonya damu iliyomo ndani ya mishipa ya uume na kuipeleka sehemu nyingine za mwili.


N.B: Kazi kubwa ya mishipa ya vena ni kunyonya damu iliyomo ndani ya mishipa ya uume na kuipeleka katika sehemu nyingine za mwili. Au kwa lugha nyingine unaweza kusema, kazi kubwa ya mishipa ya vena ni kuhakikisha hakuna damu kwenye mishipa ya uume.




2. HATUA YA PILI :


DAMU KUENDELEA KUHIFADHIWA KATIKA UUME WAKATI UUME UKIWA UMESIMAMA NA HIVYO KUUFANYA UUME UENDELEE KUDUMU KATIKA TENDO LA NDOA KWA MUDA MREFU.


Uume ulio simama, ili uendelee kusimama, ni lazima mishipa ya vena isiwe na uwezo wa kunyonya damu kutoka katika mishipa ya uume na kuipeleka katika sehemu nyinginezo za mwili. .


Mishipa ya Vena ndio inayo husika na kunyonya damu kutoka kwenye mishipa ya uume na kupeleka sehemu nyingine za mwili. Ili uume uendelee kusimama lazima mishipa hii ya vena iwe imezibwa. Ili iweze kuzibwa ni lazima misuli laini ya kwenye uume iwe - ime relax na hivyo kuifanya mishipa ya vena kushindwa ku nyonya damu kutoka kwenye uume.


Endapo mishipa ya vena itazibuka , basi itanyonya na kutoa damu yote kutoka kwenye mishipa ya uume uliosimama na kuipeleka sehemu nyinginezo za mwili na hatimaye uume huo ulio simama na utasinyaa mara moja.


JINSI UUME UNAVYO SIMAMA NA KUSISIMKA.


Tumeisha zifahamu hatua mbili muhimu katika kusimama kwa uume


Jinsi Uume unavyo simama: Katika uume kuna chemba yenye mishipa laini sana, ambayo ndio huufanya uume kusimama.


Mishipa hii ipo kama sponji hivyo huweza kunyauka na kutanuka.


Damu inapoingia ndani ya mishipa hii huufanya uume kusimama na kuwa mgumu kama msumari.


Damu inapoendelea kuhifadhiwa ndani ya mishipa hii wakati wa tendo la ndoa, huufanya uume uendelee kusimama.


Mwanaume unapo patwa na wazo la kufanya tendo la ndoa, mishipa ya fahamu iliyo kwenye ubongo hupeleka ishara kwenye uti wa mgongo, ambao nao hufikisha taarifa kwenye mishipa ya uume.


Taarifa ikisha fika kwenye mishipa ya uume, huifanya mishipa ya uume ku-relax na mishipa ya uume inapo relax, hufanya mambo makuu mawili;


i. Kwanza hufanya mishipa ya ateri kufunguka na hivyo damu kutiririka kwa kasi sana kuingia kwenye mishipa ya uume


( Mishipa ya ateri ndio inayo tumika kama njia ya kuingiza damu kwenye uume. Bila mishipa ya ateri imara na yenye afya, damu haiwezi kuingia kwenye mishipa ya uume, na damu isipoweza kuingia kwenye mishipa ya uume, basi uume hauwezi kusimama )


ii. Pili huibana mishipa ya vena na hivyo kuizuia kunyonya damu kutoka kwenye uume na kuipeleka kwenye sehemu nyingine za mwili. Matokeo yake kuufanya uume uendelee kusimama kwa muda mrefu wakati wa tendo la ndoa.


Kumbuka ,kazi kubwa ya mishipa ya neva iliyo karibu na mishipa ya uume, ni kunyonya damu kutoka ndani ya mishipa ya uume na kuipeleka kwenye sehemu nyingine za mwili. Kwa lugha nyingine, kazi kubwa ya mishipa ya vena ni kuhakikisha hakuna damu kwenye mishipa ya uume ulio simama.


Kadri damu inavyo zidi kuingia ndani ya mishipa ya uume, ndivyo uume unavyo zidi kuwa mgumu na kukakamaa.


Na kadri damu inavyo hifadhiwa ndani ya mishipa ya uume, ndivyo uume unavyo endelea kusimama wakati wa tendo la ndoa kwa muda mrefu.


Baada ya kumaliza kufanya tendo la ndoa,mishipa ya uume inarudi katika hali yake ya kawaida (inanyauka ), ikisha nyauka, mishipa ya ateri inanyauka pia, vena zinafunguka na kunyonya damu katika mishipa ya uume na kuirejesha katika sehemu nyinginezo za mwili na hatimaye uume kurudi katika hali ya kawaida ( Flaccid ).


Hali hii itaendelea kujirudia kwa kadri utakavyo kuwa ukiendelea kufanya tendo la ndoa.


Mambo Muhimu Katika Kuufanya Uume Usimame na Kuendelea kudumu katika kusimama kwa muda mrefu wakati wa tendo la ndoa.


Ili uume uweze kusimama imara kama msumari na uendelee kusimama imara na kwa muda mrefu wakati wa tendo la ndoa, ni lazima mambo yafuatayo yawepo.


1. Mishipa ya uume iliyo imara na yenye afya njema.


2. Mfumo mzuri wa damu katika mwili mzima.


3.Mtiririko imara wa damu kuingia na kutoka ndani ya mishipa ya uume.


4.Ushirikiano wenye afya kati ya mishipa ya fahamu ya kwenye ubongo (nerves), mishipa ya kwenye uti wa mgongo pamoja na mishipa ya kwenye uume.


Ili mwanaume aweze kuwa imara katika tendo la ndoa, ni lazima mambo manne niliyo yataja hapo juu yawe sawa sawa bila hitilafu yoyote. Kinyume chake, mwanaume hawezi kuwa na nguvu za kiume.


MAMBO YANAYO SABABISHA UKOSEFU/UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME.


Tumeshajua nguvu za kiume ni nini, jinsi uume unavyo simama, hatua za kusimama kwa uume, pamoja na mambo yanayo fanya uume uweze kusimama na kuwa na uwezo wa kuendelea kusimama wakati wa tendo la ndoa.


Ni vyema tukajua mambo yanayo sababisha kushindwa kusimama kwa uume, mambo yanayo sababisha uume ushindwe kuendelea kusimama kwa muda mrefu wakati wa tendo la ndoa pamoja na mambo yanayo fanya mtu ashindwe kurudia tendo la ndoa.


Yafuatayo ni mambo yanayo sababisha ukosefu wa nguvu za kiume.


1. MAGONJWA YANAYO SHAMBULIA MFUMO WA DAMU PAMOJA NA MISHIPA YA DAMU.


Damu ndio nishati inayo wezesha kusimama kwa uume na kuufanya kuwa mgumu na imara kama msumari.


Damu ndio nishati inayo weza kuufanya uume uendelee kusimama wakati wa tendo la ndoa.


Damu ndio nishati inayo upa uume uimara na uwezo wa kurudia tendo la ndoa zaidi ya mara moja.


Hivyo basi ili uume uweze kuwa imara na wenye nguvu, pamoja na kuwa na uwezo wa kumudu na kustahimili tendo la ndoa wakati wowote , basi ni lazima mwanaume awe na mfumo imara wa damu utakao ruhusu kutiririka kwa damu kwenda katika sehemu mbalimbali za mwili ikiwamo uume.


Ili mfumo uweze kuwa imara ni lazima mhusika awe na damu ya kutosha, na pili awe na mishipa ya damu yenye afya.


Katika mwili wa mwanadamu,kuna mishipa inayo tumika kusafirisha damu kutoka katika sehemu moja ya mwili kwenda katika sehemu nyingine ya mwili ikiwemo uume. Mishipa hiyo ni kama vile vena (veins), atery ( ateri) na capillary ( kapilari )


Mishipa hii ya damu inapaswa kuwa imara na yenye afya njema wakati wote. Mishipa hii ikipatwa na hitilifu, basi itazuia kusafirishwa kwa damu katika sehemu mbalimbali za mwili wa mwanadamu na hatimaye kufanya suala la kuwa na nguvu za kiume kwa mhusika kuwa ugumu kwa sababu ya kushindwa kupeleka damu kwenye mishipa ya uume.


Magonjwa kwenye mishipa ya damu huzuia kutirika kwa damu kwenye ogani muhimu kama vile moyo, ubongo na figo.


VIASHIRIA VYA MAGONJWA KWENYE MISHIPA YA DAMU.


Utajuaje kwamba una magonjwa kwenye mishipa yako ya damu ?


Ukiwa una matatizo yafuatayo ya kiafya, ni ishara kwamba, una magonjwa kwenye mishipa yako ya damu:


1. Kolestrol ( Ama lehemu kwenye damu )


Kolestrol nyingi kwenye damu, huzuia kutiririka kwa damu. Kolestrol ikizidi kwenye damu, hupelekea kuziba mishipa ya ateri ambayo kazi yake ni kupeleka damu kwenye uume. 

Matokeo yake ni mhusika kutokuwa na uwezo wa kusimamisha uume wake barabara kwa sababu uume hauwezi kusimama bila damu kuingia ndani ya mishipa ya uume. 

Hivyo basi pamoja na dawa ya nguvu za kiume, yakupasa kutibu kolestrol. Unaweza kuondoa kolestrol kwenye damu kwa kutumia dawa mbali za asili kama vile mdalasini,uwatu, habbat sodah etc. Jinsi ya kujitibu kolestrol kwa kutumia dawa asilia tafadhali tembelea




2. Shinikizo Kubwa la Damu


Shinikizo Kuu la Damu husababisha mishipa ya ateri ambayo hutiririsha damu iingiayo kwenye uume kuziba na kushindwa kutanuka kwa kiwango inachotakiwa kutanuka.


Pia huifanya mishipa laini katika uume kushindwa ku-relax na hivyo kushindwa kuizuia mishipa ya vena ya kunyonya damu kutoka kwenye mishipa ya uume na kuipeleka kwenye maeneo mengineyo ya mwilini.


Matokeo yake kunakuwa hakuna kiasi cha kutosha cha damu iingiayo kwenye uume na hivyo kufanya uume ushindwe kusimama.


Vile vile hata kiasi kidogo cha damu kinacho ingia kwenye uume, kinashindwa kuendelea kuhifadhiwa ndani ya uume wakati uume ukiwa umesimama, na matokeo yake ni uume kusinyaa ndani ya kipindi kifupi sana tangu usimame.


Pamoja na kutumia dawa ya nguvu za kiume, unapaswa pia kutumia dawa asilia kujitibu tatizo la shinikizo kuu la damu.


Kufahamu jinsi ya kujitibu tatizo la shinikizo la damu kwa njia ya asilia, tembelea :




3. Ugonjwa wa kisukari :


Ugonjwa wa kisukari ni miongoni mwa vyanzo vikuu vya tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume. Kusimama kwa uume kunategemeana na kutiririka kwa damu mwilini. Kisukari huathiri mishipa ya damu pamoja na usambazaji wa damu kwenye ogani muhimu mwilini kama vile moyo, ubongo, figo na uume.


Kiukweli, mwanaume mwenye kisukari yupo katika risk kubwa ya kupatwa na tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume,m tena katika kiwango kikubwa sana.


Unashauriwa pamoja na kutumia dawa ya nguvu za kiume, tumia pamoja na dawa mbalimbali za asili kwa ajili ya kubalance sukari yako mwilini. Zipo dawa mbalimbali za asili zinazo saidia kubalance kiwango cha sukari mwilini. 

Dwa hizo ni pamoja na mdalasini, unga wa uwatu, mbegu za uwatu, manjano, majani ya manjano,mbegu za katani, nakadhalika. 

Namna ya kutumia dawa hizo kujitibu tatizo la sukari, tafadhali tembelea : http://neemaherbalist.blogspot.com/2015/07/jitibu-kisukari-presha-shinikizo-la.html


4. Magonjwa ya figo


Tatizo la ugonjwa wa figo huathiri vitu vingi ambavyo ni muhimu sana katika kuufanya uume uweze kusimama na kuendelea kudumu katika kusimama.


Tatizo la figo, huathiri homoni, huathiri kutiririka kwa damu kwenda kwenye mishipa ya uume. Huathiri mfumo wa mishipa ya neva pamoja na nishati ya mwili mzima.


Pamoja na dawa ya kutibu tatizo la nguvu za kiume, unapaswa pia, kutibu tatizo la figo. 

Kufahamu jinsi ya kujitibu magonjwa mbalimbali ya figo kwa kutumia dawa mbalimbali asilia, tembelea :http://neemaherbalist.blogspot.com/2015/07/jitibu-kisukari-presha-shinikizo-la.html


5. Ugonjwa wa moyo


Moyo ndio supplier mkubwa wa damu katika sehemu mbalimbali za mwili. Ugonjwa wa moyo hupunguza uwezo wa moyo kusambaza damu kwenye mishipa mbalimbali ya damu na hivyo kuathiri utendaji kazi wa mishipa ya damu kama vile ateri na vena. 

Matokeo yake ni mishipa hiyo kushindwa kupeleka damu ya kutosha katika uume pamoja na kushindwa kuifanya mishipa ya uume kurelax na matokeo yake,. Ukosefu wa nguvu za kiume. 

Hivyo basi, pamoja na dawa ya nguvu za kiume, unapaswa pia kutibu tatizo la moyo. Kufahamu jinsi unavyo weza kutibu ugonjwa wa moyo kwa dawa asilia, tembelea :




6. Kupwaya kwa mishipa ya vena.


Kazi kubwa ya mishipa ya vena kwenye uume kunyonya damu iliyomo ndani ya mishipa ya uume na kuipeleka katika sehemu nyingine za mwili. 

Mishipa ya vena iliyopo karibu na uume kazi yake kubwa ni kuhakikisha hakuna damu yoyote kwenye mishipa ya uume. ( KUMBUKA KUWA DAMU NDIO HUFANYA UUMU USIMAME, HIVYO CHOCHOTE KILE KITAKACHO FANYA DAMU ISIKAE NDANI YA MISHIPA YA UUME , KITAFANYA UUME USINYAE )


Ili uume uendelee kusimama ni lazima, mishipa ya vena isiwe na uwezo wa kunyonya damu kutoka kwenye mishipa ya uume kupeleka nje ya mishipa ya uume.


Na ili mishipa ya vena isiwe na uwezo wa kunyonya damu kutoka kwenye mishipa ya uume ulio simama na kuipeleka kwenye sehemu nyingine za mwili, ni lazima mishipa ya uume iwe imara na thabiti isiyo na hitilafu yoyote ile.


Mishipa ya vena ikipwaya, mwanaume hutokuwa na uwezo wa kusimamisha uume wako, na ikitokea umefanikiwa kuusimamisha basi utasimama ukiwa legelege sana na utasinyaa ndani ya muda mfupi sana, kwa sababu damu iliyo ingia ndani ya uume wako na kuufanya usimame, itanyonywa ndani ya muda mfupi sana na kutolewa nje ya mishipa ya uume na hivyo kuufanya uume wako usimame.


Tatizo la kupwaya kwa mishipa ya vena linasababishwa na kupiga punyeto kwa muda mrefu pamoja na ugonjwa wa kisukari.




Kupiga Punyeto kwa Muda Mrefu: Kupiga punyeto kwa muda mrefu ni moja kati ya vyanzo vikuu vya tatizo la la ukosefu wa nguvu za kiume. Asilimia kubwa ya vijana wenye tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume, linasababishwa na upigaji wa punyeto kwa muda mrefu.




Jinsi Punyeto inavyosababisha Ukosefu wa Nguvu za Kiume


Unapopiga punyeto unakuwa unaiminya mishipa ya uume ambayo ndio inaufanya uume usimame.


Matokeo yake unaifanya mishipa hiyo ilegee na kutokuwa na uwezo wa kusimama tena.


Mishipa ya uume iliyo legea kutokana na upigaji punyeto, huleta madhara yafuatayo :


i. Huondoa uwezo wa mishipa ya uume kurelax.


( Unapopata wazo la kufanya tendo la ndoa, mishipa ya uume ina relax , mishipa iki relax husababisha mishipa ya ateri kupanuka na kuruhusu damu kingie ndani ya mishipa ya uume na hatimaye kuufanya uume usimame na kuwa mgumu)


ii.Mishipa ya kiume ikishindwa ku relax husababisha mishipa ya ateri kuziba


iii.Mishipa ya ateri ikiziba, damu haiwezi kutiririka kuingia kwenye mishipa ya uume, na hata ikitokea damu imeingia ndani ya mishipa ya uume basi huingia kiasi kidogo sana tena kwa presha ndogo sana hivyo basi hata kama uume utasimama basi utasimama ukiwa legelege sana


iv.Mishipa ya uume ikishindwa kurelax basi haitakuwa na uwezo wa kuipush na kuiziba mishipa ya vena ambayo ndio hunyonya damu kutoka kwenye mishipa ya uume ulio simama. 

Matokeo yake basi, damu kidogo iliyo ingia ndani ya mishipa ya uume na kuufanya uume kusimama, hunyonywa na kutolewa nje ya mishipa ya uume ndani ya sekunde chache sana na hivyo kuufanya uume usinyae ndani ya muda mfupi sana.


v. Mishipa ya uume kulegea


vi. Uume kurudi ndani na kusinyaa na kuwa kama uume wa mtoto


6. Tatizo la unene kupita kiasi : 
Tatizo la unene na uzito kupita kiasi ni miongoni mwa mambo yanayo sababisha upungufu wa nguvu za kiume. 

Unene kupita kiasi humuweka mtu katika hatari ya kupatwa na magonjwa kama vile kisukari, presha, moyo na shinikizo kuu la damu.

Na magonjwa ya kisukari, moyo,presha na shinikizo la damu husababisha upungufu na ukosefu wa nguvu za kiume, na hivyo kumuweka muhusika katika hatari kuu ya kupatwa na tatizo la ukosefu/upungufu wa nguvu za kiume.


Hivyo basi kwa wewe mwenye tatizo la unene na uzito kupita kiasi , pamoja na kutumia tiba ya nguvu za kiume, ni vyema ukafanya na mpango wa kupunguza unene na uzito wako.


Jinsi ya kupunguza Uzito na Unene kwa Kutumia Tiba Asilia. Tafadhali Tembelea;


7. Matatizo Katika mfumo wa Ubongo


Uume hauwezi kusimama bila ya kuwa na ushirikiano na ubongo. Ili mtu uume uweze kusimama, mtu lazima apate wazo la kufanya tendo la ndoa (UBONGO UNA HUSIKA HAPO ), akishapata wazo, ubungo hupeleka ishara kwenye mishipa ya fahamu iliyopo katika uti wa mgongo ambayo nayo hupeleka taarifa kwenye mishipa ya uume then uume usimama. 

Hivyo basi ili mtu aweze kuwa na uwezo wa kusimamisha uume wake ni lazima kuwa na mawasiliano mazuri na imara kati ya mishipa ya fahamu ( ubongo ), mishipa ya kwenye uti wa mgongo na mishipa ya kwenye uume. Bila ushirikiano kati ya vitu hivyo vitatu, uume hauwezi kusimama.


Magonjwa yanayoweza kuathiri ushirikiano kati ya mishipa ya ubongo na mishipa ya uume, yanaweza kusababisha kushindwa kusimama kwa uume.


Magonjwa hayo ni pamoja na kiharusi,kupoteza kumbukumbu ( Alzheimer ), multiple sclerosis pamoja na ugonjwa wa Parkinson.


Ni vyema mgonjwa akatibiwa kwanza magonjwa hayo kabla ya kuanza kutumia dawa ya nguvu za kiume. Kufahamu jinsi ya kujitibu magonjwa tajwa hapo juu kwa njia asilia,tafadhali tembelea


Mambo mengine yanayo sababisha ukosefu na upungufu wa nguvu za kiume, ni pamoja na maumivu & majeraha kwenye uti wa mgongo, chango la kiume , ngiri na matatizo katika homoni.


Viashiria vya mtu mwenye tatizo la Ukosefu/Upungufu wa Nguvu za Kiume.
Mtu mwenye tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume huwa na dalili zifuatazo ;


1. Kushindwa kabisa kusimamisha uume wake


2. Uume kusimama ukiwa legelege


3. Kuwahi kumaliza tendo la ndoa


4. Mwanaume kutokuwa na uwezo wa kufanya tendo la ndoa katika baadhi ya staili ( Mara nyingi mwanaume huyu huwa na uwezo wa kufanya tendo la ndoa staili moja tu ). Hapa mwanaume anakuwa na uwezo wa kufanya tendo la ndoa kwa staili ya “ missionary” pekee. Ikibadilishwa staili, mwanaume anakuwa hana tena uwezo wa kusimamisha uume wake japo katika hali ya u lege lege


5. Uume kutokuwa na uwezo wa kusimama wenyewe bila kushikwashikwa ama kutomaswa kwa muda mrefu.


6. Uume kusinyaa ukiwa ndani ya mwanamke.


7. Uume kusinyaa, pindi inapotokea activity yoyote ya kiungo ama ogani nyingine ya mwanaume wakati wa tendo la ndoa. Kwa mfano, wakati wa tendo la ndoa, ikitokea mwanaume amekohoa au kupiga chafya, uume nao unasinyaa.


8. Uume kusinyaa mara tu baada ya kutolewa ndani ya uke ( Kwa mfano kama unafanya tendo la ndoa, halafu uume ukatoka nje, kitendo cha kuushika kuurudisha ndani, tayari una sinyaa )


9. Kutokuwa na uwezo wa kurudia tendo la ndoa.

10. Kupatwa na maumivu wakati wa tendo la ndoa.



Viashiria vya mwanaume asiye na tatizo la Ukosefu wa nguvu za kiume
Mwanaume asiye na tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume, huonyesha ishara zifuatazo ;


i. Uume husimama ukiwa imara kama msumari.


ii.Hukaa kifuani kwa muda mrefu ( Wastani ni kati ya dakika 20 hadi 45 )


iii.Huweza kurudia tendo la ndoa zaidi ya mara tatu bila misuli ya uume kuchoka.


iv. Huweza kufanya tendo la ndoa kwa staili yoyote ile


v. Uume husimama wenyewe bila kushikwa shikwa wala kuwa stimulated kwa namna yoyote ile


vi.Kwa ufupi anakuwa na uwezo wa kufanya na kukamilisha tendo la ndoa kwa uukamilifu mkubwa.


Tiba Asilia ya Tatizo la Ukosefu/Upungufu wa Nguvu za Kiume.
Dawa asilia ya JIKO ni dawa asilia inayo tibu na kuponyesha kabisa tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume.


Mfumo wa Dawa
Dozi ya dawa ya JIKO ni mkusanyiko wa dawa nne asilia zenye uwezo mkubwa sana katika kutibu na kuponyesha kabisa tatizo la ukosefu/upungufu wa nguvu za kiume.


Dawa hizi zipo katika mfumo wa MIZIZI na UNGA UNGA.

Jinsi Dawa ya Jiko Inavyofanya kazi
Dozi ya dawa ya JIKO inafanya kazi zifuatazo katika mwili wa mwanadamu.


Dawa ya JIKO inasadia katika mambo makuu yafuatayo:


1. Inasaidia kuimarisha mishipa ya uume ulio legea na hivyo kuufanya uume uwe na uwezo wa kusimama barabara kama msumari wakati wa tendo la ndoa.


2. Inasaidia kusafisha mishipa ya kwenye uume na hivyo kusaidia katika kuongeza kasi ya msukumo wa damu kwenye mishipa ya kwenye uume.


3. Huongeza damu mwilini


4. Husaidia kuongeza msukumo (pressure) wa damu kwenye mishipa ya uume na hivyo kuufanya uume kuwa na nguvu za ajabu.


5. Huipa misuli ya uume uwezo wa kuziba wa kuizuia mishipa ya vena kunyonya damu kwenye mishipa ya uume wakati wa tendo la ndoa na matokeo yake kukupa uwezo wa kufanya tendo la ndoa kwa muda mrefu( Kuzuia hali ya kufika kileleni haraka )


6. Husaidia kurelax mind na hivyo kumfanya mtu awe na uwezo wa kuconcentrate wakati wa tendo la ndoa bila kuathiriwa na msongo wa mawazo


7. Hurejesha, kuimarisha na kuboresha ushirikiano kati ya mishipa ya fahamu ya kwenye ubongo (nerves), mishipa ya kwenye uti wa mgongo pamoja na mishipa ya kwenye uume


8. Humfanya mwanaume awe na uwezo wa kurudia tendo la ndoa mara nyingi zaidi bila kuchoka.


9. Husaidia kuongeza hamu ya tendo la ndoa.


10. Husaidia kuurudisha nje uume ulio ingia ndani.


11. Husaidia kutibu side effects za punyeto na matumizi ya muda mrefu ya dawa kali za (za kizungu ) za kuongeza nguvu za kiume.


12. Husaidia kutibu chango la kiume.


13. Dawa hii huwasaidia hata wanawake wanao sumbuliwa na tatizo la ukosefu wa hamu ya tendo la ndoa.






Post a Comment

 
Top