Nilikuwa na wasiwasi naye lakini na yeye alikuwa mjanja mjanja mpaka leo nimempa vitu vya Ukawa nikajaribu jaribu kuponda ponda ccm na viongozi wake hakuweza kustaamili amekuja juu kuliko moto wa kifuu nikamgundua 100& nimemuumiza sana.

kwa kweli nampenda na tunapendana sanaaa, namtegemea kuwa mama wa watoto wangu lakini ukweli mimi naichukia ccm na nikimuona ccm ivi anapitapita namchukia sana sasa leo naenda kulala naye kitanda 1 jamani itakuwaje naomba msaada wenu wakuu.

Si mnajuwa haya mambo ya Ukawa na Tanzania kwanza kama paka na moshi. Uchaguzi huu unakuja tutakuwa hali gani mmoja akishindwa?

Post a Comment

 
Top