irene uwoya akatiwa dudu uchi




Katibu Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi(CCM),Nape Nnauye amefunguka suala la msanii wa Bongo Movie,Irene Uwoya jina lake kukatwa kwenye list ya wabunge walioshinda ubunge viti maalum kupitia vijana (UVCCM).Kupitia mahojiano maalum kupitia XXL Nape alisema hivi:

‘Mitandao ya kijamii inashabikia bila ya kupata mtu wa kulieleza kwa kesi ya Irene alikwenda kugombea Tabora kupitia Umoja Wa Vijana(UVCCM) Tabora baraza kuu alikuwa wa kwanza kati ya wagombea watatu,alipokuja Dodoma kwenye mchakato akawa mtu wa saba,kwa utaratibu wa kawaida inatakiwa aingie mtu wa kwanza hadi wa sita watakaopelekwa.’’Alisema Nape.


‘’Kwa upande wa Zanzibar kuna vijana wanne jumla viti kumi vya vijana ndiyo vinatakiwa lakini viti kumi ni asilimia 100 kwahiyo mkishachukua viti kumi mnatafuta asilimia 64 ya viti kumi ile ambayo ambayo mlikuwa mmeipata baada ya uchaguzi,Irene alikuwa namba saba tulipokaa katika vikao kuna mtu alikatwa jina kwa sababu za kichama.Irene akapanda kutoka namba saba hadi sita kwahiyo akaingia wale vijana sita wa Bara ambao wanapelekwa tume ya taifa ya uchaguzi (NEC) kusubiri ‘percent’ tutakayoipata jina lake likapelekwa tume lakini watu wanasema Irene jina lake limekatwa na CCM siyo ukweli katika majina yaliyopelekwa tume na la Irene lilikuwepo kwa sababu aliingia namba sita tumepiga kura uchaguzi mkuu ‘percent’ imepatikana badala ya kuingia watu sita wameingia wanne kutokana na percent iliyopatikana na Zanzibar wameingia watu wawili kwahiyo ukitafuta asilimia 64 ya 10 unapata watu sita,’’alisema Nape.

Post a Comment

 
Top