Zari The Boss Lady Ambaye ni Mke wa Staa Diamond the Platnumz, amedhirisha ubosslady wake leo kwa kupost picha kupitia mtandao wake wa instagram nakuwapa watu nafasi wa kulipa jina la gari hilo, ambalo lilikuwa ni hummer, i hope this will be bad news kwa mahaters wake wote wa mjini haya wadau wa makubwa haya unasemaje kuhusu gari hili jipya la zarithebosslady na gari lake la hummer..

Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.