Shirika la Umeme Nchini Tanesco Limekata Huduma ya Umeme Nyumbani kwa Staa kutoka kiwanda cha bongomovie Wema Sepetu baada kuchunguza na kujihakikishia alikuwa akitumia Luku iliyochakachuliwa.Tanesco walipofika Nyumban kwa Wema Sepetu Hawakumkuta Wema Sepetu walimkuta Mshindi wa BBA Idris Sultan aliyejaribu kuwasihi wasikate Umeme.
Related Posts
- Tuzo Nne Walizoshinda Vanessa Mdee na Diamond Platnumz AFRIMA Hizi Hapa.16 Nov 20150
Tuzo za All Afrika Music Awards 2015 (AFRIMA) zimetolewa usiku wa Jumapili November 15 jijini Lag...Read more »
- Ulimiss Kile Kisa cha Bibi Harusi Aliyetoroka Katika Siku yako Ndoa Huko Moshi.11 Nov 20150
Bibi harusi Doroth Msuya aliyetoroka saluni akipambwa saa tatu kabla ya kufungwa kwa harusi ...Read more »
- Martin Kadinda Akieleza Juhudi Alizozifanya ili Kuomuona Jackline Cliff China Gerezani.04 Nov 20150
Jina la Jackie Cliff sio geni masikioni kwa watu kutokana na Umaarufu alikuwa nao staa huyu amb...Read more »
- Picha ya Tuzo Mpya Aliyoshinda Diamond Platnumz za MTVEAM 2015.26 Oct 20150
Msanii Diamond Platnumz Amenyakua Tuzo zingine za MTVEAM katika Kipengele cha Best World Wide...Read more »
- Baraka Da Prince yuko Mapenzini na Agness Masogange?11 Sep 20150
Hit Maker wa Single ya Nivumilie Baracka Endrew ama Baracka De Prince’ amefunguka kuwa kufu...Read more »
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.