Hivi karibun najua utakuwa umesikia ujio mpya wa simu kutoka Galaxy sasa leo kupitia hapa ntwapa jinsi inavyo fanya kazi nan a baadhi ya features zake


Katika simu hii utaweza  kuscroll katika screen yako wakati ule tu ambao macho yako yameelekezwa kutazama screen ya simu, na hii ni kwa ajili ya kuzuia kujibonyeza ama kuscroll kwa bahati mbaya ama wakati hujakusudi au simu yako ikiwa mfukoni.
Pia simu hii inauwezo wa  kufahamu/kusense kama macho yako yanaitazama ama hayaitazami
‘’Mfano:wakati unatazama video isikupite (Ukiacha kuitazama tu ina-pause wenyewe bila ya kuguswa)’’

Hali kadhalika simu hii ina 'wave software' pia, ambayo inakuwezesha ku-play ama kusimamisha wimbo/video bila kushika simu yako, na hata pia kuperuzi katika mtandao bila kuishika - utaweza kufanya hivyo kwa kuifanyia ishara kwa mkono wako.
Simu hii pia itakuwezesha pia kupitia ujumbe mfupi pamoja na e-mails zako, na pia unaweza kucheki kilichomo   bila kufungua internet.

                                                 

Hizo ni baadhi ya programu zilizoongezeka kwenye simu hii,


  Network 2.5G (GSM/ GPRS/ EDGE): 850 / 900 / 1800 / 1900 MHz, 3G (HSPA+ 42Mbps): 850 / 900 / 1900 / 2100 MHz, 4G (LTE Cat 3 100/50Mbps) : up to six different band sets(Dependent on market)
    Display 5 inch Full HD Super AMOLED (1920 x 1080) display, 441 ppi
    Processor 1.6 GHz Octa-Core Processor
    OS Android 4.2.2 (Jelly Bean)
    Camera Main (Rear): 13 Mega pixel Auto Focus camera with Flash & Zero Shutter Lag, BIS, Sub (Front): 2 Mega pixel camera, Full HD recording @30fps with Zero Shutter Lag, BIS

    Video Codec MPEG4, H.264, H.263, DivX, DivX3.11, VC-1, VP8, WMV7/8, Sorenson Spark, HEVC
    Recording & Playback Full HD (1080p)
    Audio Codec MP3, AMR-NB/WB, AAC/AAC+/eAAC+, WMA, OGG, FLAC, AC-3, apt-X

    Dual Camera Dual Shot / Dual Recording/ Dual Video Call, Drama Shot, Sound & Shot, 360 Photo, Cinema Photo, Eraser, Night, Best Photo, Best Face, Beauty Face, HDR (High Dynamic Range), Panorama, Sports

    Additional Features Group Play: Share Music, Share Picture, Share Document, Play Games, Story Album, S Translator, Optical Reader, Samsung Smart Scroll, Samsung Smart Pause, Air Gesture, Air View, Samsung Hub, ChatON (Voice/Video Call, Share screen, 3-way calling), Samsung WatchON, S Travel (Trip Advisor), S Voice™ Drive, S Health, Samsung Adapt Display, Samsung Adapt Sound, Auto adjust touch sensitivity (Glove friendly), Safety Assistance, Samsung Link, Screen Mirroring, Samsung KNOX (B2B only), Google Mobile Services Google Search, Google Maps, Gmail, Google Latitude, Google Play Store, Google Plus, YouTube, Google Talk, Google Places, Google Navigation, Google Downloads, Voice Search







Post a Comment

 
Top