Doreen Mangula wa Mark Techno Limited ambao ni wauzaji na wasambazaji mvinyo na vinywaji vikali kikiwemo kinywaji cha Jack Daniel’s akitoa maelezo ya kinywaji cha Jack Daniel’s kwa mashabiki wa Skylight Band waliokuwa wakikaribishwa na SHOT za Mr. Jack’s kwenye usiku maalum wa kusheherekea siku ya kuzaliwa kwa Mr. Jack’s a.k.a Jack Daniel’s.
Doreen Mangula wa Mark Techno Limited ambao ni wauzaji na wasambazaji kinywaji cha Jack Daniel’s akizungumza na mashabiki wa Skylight Band kuhusina na kinywaji hicho kikali cha Mr. Jack’s (Jack Daniel’s) ambacho hakina Hang Over na harufu mbaya mdomoni na kukufanya ujisikie mwenye furaha wakati wote.
Kaunta ya Mr. Jack’s a.k.a Jack Daniel’s ikisimamiwa na Doreen Mangula wa Mark Techno Limited ambao ni wauzaji na wasambazaji kinywaji cha Jack Daniel’s.
Cheers to you Mr. Photographer…..wageni wakiendelea kupata SHOT za Mr. Jack’s.
Baadhi ya brand za Mr.Jacks’ zenye ujazo tofauti zikiwa zimepambwa kwenye kaunta maalum.
Mwanamanyoya akishow love na Mr.Jack’s.
Meneja wa Skylight Band Aneth Kushaba AK47 akishangaa kuona brand mbalimbali zakuvutia za Mr. Jack’s.
Mashabiki wa Skylight Band wakiendelea kufurahia SHOT za Mr.Jack’s.
Mkurugenzi Mtendaji wa Skylight Entertainment Dr. Sebastian Ndege(mwenye kofia) akiwapa tano baadhi ya mashabiki wa Skylight Band kwenye kaunta ya Mr.Jack’s iliyokuwa inatoa fursa kwa mashabiki wa band hiyo kupata SHOT za bure za Jack Daniel’s.
Team Wanamanyoya wakipata Ukodak na tabasamu bashasha baada ya kupata SHOT za Mr.Jack’s anayeonyesha upendo kwa wadau wa kinywaji hicho.
Meneja wa Skylight Band Aneth Kushaba AK47 akishow love na Mr.Jack’s a.k.a Jack Daniel’s.
Sam Mapenzi wa Skylight Band akipata ukodak kwenye sehemu maalum yakumwandikia ujumbe wa kumtakia maisha mema Mr. Jack’s a.k.a Jack Daniel’s anayezaliwa mwezi huu wa tisa.
Meneja wa Skylight Band Aneth Kushaba AK47 akiandika ujumbe maalum wa kumtaki birthday njema Mr. Jack’s.
Pichani juu na chini ni baadhi ya mashabiki wa Skylight Band wakipata ukodak kwenye bango la Mr. Jack’s
Aneth Kushaba AK47 akitoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band huku Mary Lucos akimpa sapoti kwenye usiku maalum wa shamra shamra za kusheherekea siku ya kuzaliwa ya Mr. Jack’s a.k.a Jack Daniel’s.
Sam Mapenzi na Aneth Kushaba AK47 wakitoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band kwenye usiku maalum wa kuonyesha upendo kwa Mr. Jack’s anayezaliwa mwezi septemba.
Shabiki wa Skylight Band akimpa tano Sam Mapenzi a.k.a asali ya warembo wakati akitoa burudani kwenye usiku maalum wa Mr. Jack’s.
Mashabiki wakisakata rhumba na muziki mzuri kutoka Skylight Band.
Joniko Flower akisebeneka jukwaani na shabiki wake aliyechizika na burudani uimbaji wake.
Skylight Band inapendwa pia na raia wa kigeni kama wanavyoonekana kwa mbali wakiwa wamechizika na burudani.
Kijana mdogo machachari wa Skylight Band Hashim Donode na Aneth Kushaba AK47 kwa pamoja wakiwapa raha mashabiki wa Skylight Band.
Hashim Donode na Aneth Kushaba AK47 wakishambulia jukwaa.
Mashabiki wa Skylight Band wakizungusha mduara kwenye usiku maalum wa Mr.Jack’s uliofanyika mwishoni mwa juma kwenye kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar.
Mashabiki wa Skylight Band wakiburudika na mduara kutoka kwa Mary Lucos (hayupo pichani).
Shabiki wa Skylight Band akitoa swagga zake kwa mpiga picha wa Skylight Band.
Mamia ya wakazi wa jiji la Dar waliofurika kwenye usiku maalum wa Mr. Jack’s uliopambwa na Skylight Band.
Mary Lucos wa Skylight Band akiwaimbia mashabiki wa band hiyo.
Ulifika ule muda wa kutafuta mwanadada mmoja anayezijua style zote za Skylight Band na jukwaani walipatikana wadada watatu.
Wadada warembo mashabiki wa Skylight Band wakiendelea kuchuana kwa style mbalimbali za Skylight Band, ikiwemo “Kikuku” Yachuma chuma, Sugua sugua na zingine kibao.
Joniko Flower akiuliza mashabiki waliofurika ukumbini hapo kati ya hao wawili nani mkali.
Aneth Kushaba AK47 na Sony Masamba ilibidi waingilie kati kuwakumbushia style mpya ili zoezi liendeleee.
Sehemu ya mashabiki wa Skylight Band waliofurika kwenye usiku wa maalum wa Mr. Jack’s ndani ya Thai Village.
Zoezi likendelea Sugua sugua…..
Joniko Flower, Aneth Kushaba AK47 na Sony Masamba wakipata ukodak na mshindi wao alitambulika kwa jina Zulfa na kujinyakulia zawadi ya chupa ya Mr.Jack’s a.k.a Jack Daniel’s.
Zulfa akipata Ukodak na Meneja wa Band Aneth Kushaba AK47 baada ya kuibuka kidedea kwa kucheza style za Skylight Band.
What would I do without your smart mouth? Drawing me in, and you kicking me out ..You’ve got my head spinning, no kidding, I can’t pin you down..What’s going on in that beautiful mind…Sam Mapenzi akiimba wimbo wa All of Me ulioimbwa na John Legend uliokongo moyo wa Super star Wema Sepetu aliyeamua kula pozi jukwaani huku Sam Mapenzi akipiga mistari ya wimbo huo.
Oooh you’ve touched my heart Sam…..anavyoonekana kusema super star huyo.
My head’s under water..But I’m breathing fine..You’re crazy and I’m out of my mind..’Cause all of me…Loves all of you
Love your curves and all your edges…All your perfect imperfections…Give your all to me….I’ll give my all to you
Super star Wema Sepetu akianza kumtunza Sam Mapenzi wa Skylight Band.
Mdau naye alitoa dola 200
Wema Sepetu akiendelea kukwangua pochi lake na kuhakikisha linabaki jeupeeee.
Mijihela ikiendelea kumiminika kwa Sam Mapenzi.
Shikamoo Madam Wema Sepetu……Umetishaaa mbaya…
Shangwe za kutosha zilirindima kwenye usiku wa Mr. Jack’s ambaye mwezi huu wa tisa tunasheherekea birthday yake kama hivi.
DJ Peter Moe akishow love na Rais wa Wanamanyoya Justine Ndege.
Wadau wa Skylight Band wakipata ukodak.
Wadau wa Skylight Band wakishow love.
Aneth Kushaba AK47 akishow love na shabiki wake.
Mwanamanyoya Victor Maginga (kulia) akipata ukodak na swahiba wake.
Aneth Kushaba AK47 na shabiki wake.
Amo Blaze na glass yake ya Mr’Jack’s akishow love na swahiba wake.
Mdau Rummy akishow love na wadananda
Mratibu wa Skylight Band Lubea (kulia) akishow love na Rummy.
Wanamanyoya Victor Maginga (wa pili kushoto) na baadhi ya wanamanyoya wakishow love na ukodak.
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.