Aliyewahi kuwa Mke wa Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini Mh Sugu anayejulikana kwa kufanya vitendo vyake vya vichekesho bila hata ya aibu anajulikana kwa jina la Faiza Ally ambaye alifanikiwa kupata mtoto mmoja na Mh Sugu lakin baadae walikuja kutengana kutokana na migogoro baina yao wawili.
Mapema leo amedhibitisha kuwa anapenda kukaa Uch*i kuliko kuvaa nguo ambapo yeye mwenyewe amejigundua na kusema kuwa ni kilema alicho nacho kwenye akaunt yake ya Instagram na aliandika hivi
Kama utakuwa mfuatiliaji mzuri wa mtandao wetu utakuwa uliwahi kuona picha za Birthday ambapo alifanya guku amevaa nepi za watoto
Post a Comment