Moja kati ya Miji inayosifika kuwa na majengo makubwa na marefu Duniani huwezi kuacha kuizungumzia Dubai, Lile Jengo refu lenye ghrofa 86 likiwa na futi 1,105 kwenda juu, siku ya Jumamosi ilishika moto katika Ghorofa ya 52 na kuambukiza moto katika Ghorofa zingine za chini ambapo magari kadhaa yalitumika kuzima moto kutoka na moto huo kushika kwa kasi sana
Mamlaka ya ghorofa hilo bado haijatoa ripoti kamili kuhusu Majuruhi wala watu walio kufa na nimekuwekea picha zote hapa chini kutoka Dubai hapo chini
Mamlaka ya ghorofa hilo bado haijatoa ripoti kamili kuhusu Majuruhi wala watu walio kufa na nimekuwekea picha zote hapa chini kutoka Dubai hapo chini
Post a Comment