Habiri zilizotufikia hivi punde zimedai Mbunge wa Arumeru Mashariki, Kamanda Joshua Nassari amepata ajali ya Chopa! Kijiji cha Leguruki wilaya ya Meru mkoani arusha akiwa katika mikutano ya kuhamasisha uandikisha. 

Tunamshukuru Mungu taarifa za awali zimedai hajaumia sana ilihali mmoja wa abiria bado jina lake halijatajwa ameripotiwa kuvunjika mguu.

Taarifa kutoka kwa Ndote Katibu wa Mbunge Mbowe juu ya chanzo cha ajali Hii hapa


"Chopper imepigwa na storm kwa takriban dk 2. Pilot amefanikiwa kufanya landing manouvre lakini kimbungaa kilikuwa kikali sana. Ndege imecrash abiria wameumia kiasi tu. Wamepelekwa Selian Hospital.Ndege imebaki vipande. Nimeongea na pilot akiwa na tune nzuri tu. Wenzake walikuwa wametangulia hospitalini. Tuwaombee wapate nafuu haraka."

Source: Katibu wa Mbunge 

Post a Comment

 
Top