Mmwanamziki asiyeishiwa na vituko Lady Gaga ameonekana kukubalika na mashabiki kwa kuwa na followers wengi wapatao 34,918,249 kwenye mtandao wa Twitter

Hali hiyo imesababishwa kuonekana kuwa na wafuasi wengi zaidi ya waimbaji wenzie huku akionekana pia kumzidi rais wa Marekani ambaye yeye anaonekana kuwa na folllowers 28,185,757

Muimbaji huyu ambaye haishi vituko akiwa stageni ndio jambo linalomuongezea umaarufu mkubwa hali inayochangia kuwa na kundi la watu amablo ni mashabiki na wengineamabo sio mashabiki kupenda  kumfuatilia kwenye mitandao ya kijamii na kujua anafanya nini ili kuweza kugundua kitu kinachoendelea juu yake


Post a Comment

 
Top