Startimes wamepandisha gharama ya vifurushi amabpo kwa sasa vitauzwa kama ifuatavyo.

Kile kilichokuwa kinauzwa Tshs. 9,000 sasa kitauzwa Tshs. 10,000..
Kile cha Tshs. 18,000 sasa kitakuwa Tshs. 20,000.. Kile cha Tshs. 36,000 sasa kitakuwa ni Tshs. 40,000.. Itaanza rasmi tarehe 15 April..

TCRA waliahidi mambo  mengi  mazuri kwenye mfumo dijitali..Ahadi  yao  imegeuka  na  kuwa  ndoto.....

Post a Comment

 
Top