Msanii wa muziki wa
bongoflava hapa nchini
Tanzania anayefahamika
kama Ben Pol mapema
hii leo ameweka wazi
kuhusiana na ndoto
aliyoiota usiku kuhusiana
na dini inayomwabudu
shetani(FREEMASON).
Mwenyewe alisema
wakati akiwa amelala
usiku alijiwa na ndoto
ambayo ilimkutanisha na
wanachama na
ulimwengu wa Freemason
wakiwa wanamtaka yeye
ajiunge na dini hiyo
ambayo iko kinyume na
matakwa ya Mwenyezi
Mungu,mwenyewe kupitia
facebook alisema hivi:
Ben Pol
HII INATISHA..!!!
FREEMASONS FORCING ME
TO JOIN THEM ???THANKS
GOD ...HII NI SAA 8 NA
DAKIKA 3
USIKU ..NIMEOTA NDOTO
YA AJABU AISEE DAKIKA
CHACHE ZILIZOPITA ..I
WAS TALKING TO DEVIL
'..N TOLD HIM STRAIGHTLY
'SITAKI ,SIWEZI KUWA
FREEMASON!!!' ...MWILI
UNATETEMEKA HAPA
NAANDIKA HII STATUS!

Post a Comment

 
Top