Msanii wa music wa kizazi kipya ambae pia ni Producer marufu kama Bob Junior ambae kwa sasa bado yupo kwenye ziara yake Barani Ulaya, ambapo huko ameenda kutembea na pia kupiga show katika mataifa tofauti.
Weekend hii msanii huyu ambae pia anajulikana kama Sharobaro President alikuwa akipiga show nchini Denmark.
Hizi ni baadhi ya picha zinazomuonesha Bob kwenye show alizopiga kati ya nchi hizo mbili, cheki hapa chini:





CHANZO GONGA MX

Post a Comment

 
Top