Mwanadada anayefanya vizuri katika tansia ya mziki kwa miondoka ya duara Zuwena Mohamed  anayejulikana kama Shilole hivi karbuni yeye na muimbaji mwanzake wa bongo fleva  Abubakar Katwila anayejulikana kama Q-Chillah hivi karibuni walinaswa  ndani ya ndege wakionyeshana vitendo vya kimahaba kwa kubusiana kila mara ndani ya ndege bila ya kujali watu waliowazunguka.
Tukio hilo lilitokea Machi 29, mwaka huu ambapo ilikuwa siku ya Ijumaa Kuu ambapo wsanii hao walikuwa wakisafiri kwenda mwanza kufanya show siku ya pasaka.

Post a Comment

 
Top