Mwanadada anayefanya vizuri katika tansia ya mziki kwa
miondoka ya duara Zuwena Mohamed
anayejulikana kama Shilole hivi karbuni yeye na muimbaji mwanzake wa
bongo fleva Abubakar Katwila
anayejulikana kama Q-Chillah hivi karibuni walinaswa ndani ya ndege wakionyeshana vitendo vya
kimahaba kwa kubusiana kila mara ndani ya ndege bila ya kujali watu
waliowazunguka.
Tukio hilo lilitokea Machi 29, mwaka huu ambapo ilikuwa
siku ya Ijumaa Kuu ambapo wsanii hao walikuwa wakisafiri kwenda mwanza kufanya
show siku ya pasaka.
Post a Comment