Msanii Diamond Platnumz kutoka hapa Tanzania amesafiri kwenda jijini Cape Town Afrika Kusini ambako huko amekwenda kwa ajili ya kushoot video ya wimbo alioshirikishwa na msanii kutoka Nigeria anayejulikana kwa jina la Waje, Diamond na Waje Video hiyo imefanyika kakita fukwe za bahari ya Atlantic jijini Cape Town baadhi ya picha kutoka huko hizi hapa









 



Post a Comment

 
Top