Zari-Diamond




Ugandan socialite ambaye amezaliwa South Afrika Zari The BossLady siku ya jana amesafiri kutoka Unaganda na kwenda Tanzania ili kukutana na msanii mkongwe anayefanya vizuri kwenye soko la muziki nje ya nchi Diamond Platnumz

Diamond alikuatana na Billionaire huyo kutoka Uganda wakiwa London ambapo msanii huyo alimkaribisha tajiri huyo Zari ambapo siku ya jana walitoka wote Out na kula bata kidogo. Japo Zari mwenye hakusema kwanini anakutana na msanii huyo lakin aliwahi kusema kwamba wana mawasiliano ya siku nyingi na msanii huyo ambapo yeye mwenyewe alikiri alikutanisha na Diamond kutoka kwa baadhi ya marafiki zake ndipo alipomwomba wakutana yani Outing Day,Usijekushanga siku unasiki huyu ndie shemeji yetu kwa msanii Chibu Dangote 

picha zingine hizi hapa chini 

Zari-Diamond 1 


Zari-Diamond 1

Post a Comment

 
Top