millard ayo

Mtangazaji Millard Ayo Ambaye amejizolea umaarufu kutokana na kipaji chake cha utangazaji na pia kiu ya kutafuta habari katika kila kona ya dunia ikiwemo Afrika Mashariki, japokuwa anamiliki page maarufu na kubwa kwenye mitandao ya kijamii lakin kuona picha zake mara kwa mara sio kazi rahisi kutokana na yeye mwenyewe kutokuweka kabisa picha zake ila huwa huweka habari ambazo huwa anaziweka kwenye website yake ya millardayo, leo katika pita pita zangu nikafanikiwa kupata picha zake japo za kitambo kidogo lakin bado ziko kwenye chat enjoy



millard ayo





millard ayo




millard ayo




millard ayo



millard ayo



millard ayo

Post a Comment

 
Top