Moja za boti zinazosaidia uokoaji.


Baadhi ya sehemu zilizo athirika na maafa hayo ya mvua jijini Dar es salaam, Mvua hizo zilizoanza juzi na kusababisha maafa makubwa kwa baadhi ya wananchi, maeneo ambayo yamekumbwa na maafa hayo ni kama Jangwani, Kigogo, Tabata, Kinondoni, Sinza, Tandale, Buguruni na maeneo mengine.Licha ya kuwa maji kuonekana kufurika,wanywaji hawa hawakupenda kuacha ile kitu roho inapenda hivyo wakaendelea na unywaji kama kawaida yao bila ya kujari kuwa sehemu waliyokaa haikuwa salama kwa afya zao kwani maji hayo yalibeba kila aina ya uchafu ukiwemo ule wa vyooni na wa kwenye majalala.






Post a Comment

 
Top