Msanii wa bongo fleva ajulikaneye kama Ambwene Yesaya a.k.a Ay amejinyakulia tuzo yakwanza katika kipengele cha Most Gifted East African video of the Year na wimbo wake alioshirikiana na Sauti Soul I don't tobe alone....Hongera sana mzee wa comercial
     
     BAADHI YA NGOMA ZINGINE ZILIZO KUWA ZINA SHINDANA HIZI HAPA
  • Keko Feat. Madtraxx – Make You Dance
  • Camp Mulla – Party Don’t Stop
  • AY feat Sauti Soul – I Don’t Want To Be Alone
  • K’Naan Feat. Nas – Nothing To lose
  • Navio – One & Only

Post a Comment

 
Top