Staa Diamond Platnumz ambaye jana alikuwa akipiga show kali pale nchin Rwanda akiwa na mpenzi wake Zari the Boss Lady na kwa mujibu wa mashabiki wa Uganda wanasema wanaona kama Zari Hassan ndie mwanamke wa maisha ya Diamond Platinumz kutokana na yeye kujali sana kazi za mpenzi wake ambapo wamekuwa wakisafiri kila mara licha ya kwamba Zari anabishara zake lakin yuko Radhi kuziacha na kumpa Company mpenzi wake, Zari ambaye amempita Diamond kwa miaka kama 15 lakin siku zote umri ni namba tu kibwa ni Penzi acha Ubuyu uendeelee 





Chini hapo ni picha za show ilivyokuwepo ndani ya ukumbi wa Vibe party








Wapendanao hao jamani kila la kweri acha ubuyu uendeelee kumwagika 

Post a Comment

 
Top