Damian Soul amefanya ngoma mpya na Joh Makini kutoka kundi la weusi inayojulikana kama ‘Baraka’ ikiwa ni mkono wa Producer Pancho Latino na Hermy B kutoka studio za B’Hits kama kawaidia iko hapa chini unewaza kuidownload ni hulkshare
New Music Damian Soul ft Joh Makini - Baraka.

Post a Comment