Baada ya stori nyigi kumwagika na mapicha kibao ya Staa Vanessa Mdee na Jux kuwa na mahasiono lakin baada ya kufanyiwa mahojiano walikataa katakataa na wakasema ni marifiki sasa leo ubuyu umwemwagika
Pichani hapo juu ni Jux akiwa na Vanessa ukiangalia picha unaweza kuwa na majibu mengi sana kutoka na pozi la kimahaba baina yao lakini majibu yote yatakuwa yanaelekea kwenye jibu moja kwamba ni wapenzi
Kupitia Instagram mapema leo Vanessa Mdee ameposti picha hiyo hapo juu na kuandika maneno hayo hapa chini
“A1 since Day 1,”
Mtandao wa Bongo5 uliwahikufanya interview na Vanessa Mdee na alikuwa na haya ya kusema
“Ni rafiki yangu wa muda sana sasa hivi. Unajua watu wakikuona upo na mtu karibu tu lazima watasema. Mwanzo walisema Ommy Dimpoz sababu ya ile nyimbo ya Me and You. Mara wakasema Gosby kipindi kile ilipotoka ile nyimbo ya Monefere. Kwahiyo kwahiyo hata leo mfano Nahareel asingekuwa na Aika basi nahisi na yeye pia wangesema hivyo. Ila sio hivyo wanavyofikiria. Jux ni rafiki yangu tu,”
Haikuishia hapo naye Jux alikuwa na haya ya kusema
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.