Yule mfanyabiashara kutoka Congo aliyewahi kutoka kimapenzi na mastaa wa Bongo movie kimapenzi, Mwami Radjabu sasa hivi amehamia kwa muhalaiki kutoka Kenya, Huddah Monroe.
Kama utakuwa unakumbuka pedeshee huyo aliwahi kuwa na Jacqueline Wolper kwenye uhusiano kimapenzi lakin sasa yuko kwa huddah, na stori chini ya kapeti zinasema kwamba tajiri huyo ndie aliyemnunulia garia aina ya Vogue Huddah Monroe
“Ni kweli ni muda mrefu niko Kenya na Huddah ndiye mpenzi wangu kwa sasa naomba hao mademu wa Bongo wanikome kabisa kwani wamezidi, nitakuja naye huko Dar Januari 10, mwaka huu kuhusu Wolper atabaki kuwa rafiki yangu wa kawaida tu.”
Mfupa aliyoushindwa Mustapha ambaye alikuwa mpenzi wa Huddah Monroe atauweza Mkongo huyu labda utatulia kwa kuwa kuna pesa hii hapa chini ni video ya mkongo akigawa pesa kama kifaa chako hakina uwezo bonyeza hapa
Post a Comment