Habari njema kwa mashabiki wa Diamond na Zari ni kuwa Zari amejifungua mtoto wa kike mapema alfajiri ya leo na hizi ni baadhi ya pich...
Photos; Mimba ya Zari ilivyyokuwa Kubwa.
Mpenzi wa Msanii wa Bongo Fleva Nasibu Abdul alamarufu kama Diamond Platnumz, Zari amepost picha yake kwenye mitandao ya kijamii akionyesha...
King Lawrence; Diamond Platnumz Umefanya makosa Makubwa Kufunga Ndoa na Zari.
Siku chache zilizopita utakuwa umeona picha za ndoa ya Diamond Platnumz na Zari iliyofanyika kisiri kwenye mitandao ya kijamii. Kama u...
Picha ya Mimba ya Zari Inaovyoonekana Sasa.
Baada ya Mpenzi wa Diamond Platnumz kuanza kuweka picha za zamani ili kuficha ujazito wake Zari The Boss Lady sasa tumefanikiwa kukamata pi...
Picha za Diamond Platnumz Akimpikia Mpenzi wake Zari.
Wakati Stori zikiendelea kuvuma Juu ya Nyumba ya Staa Diamond Platnumz yenye Thamani ya million 400 za kitanzania kwenye Instagram yao ...
Picha za Zari azunguka Anga ya Kenya kwa helikopta
Wanasema Raha Jipe Mwenyewe mana za Kupewa mwisho wake huwa majonzi, Mpenzi wa Staa Diamond Platnumz kutoka Uganda Zari The Bo...
Picha za Diamond Platnumz na Zari The Boss Lady ndani ya Mahaba Mazito Beach.
In The Name of Love two luv birds More Pictures Click Here
Muonekano wa Mimba ya Zari Aliyopewa na Diamond Platnumz.
Diamond Platnumz aliweka hii ikionyesha mimba ya Zari then akaitoa fasta lakini kumbe kuna watu waliionasa mapema na kufanikiwa kuipata, ...
Baada ya Kutukwana Matusi ya Nguoni Zari The Boss Lady Pichani na King Lawrence.
Ukisikia pesa mwanaharaum basi ndio style yake hii, week mbili zilizopita tulisikia story za King lawrence kumtukana matusi ya ng...
King Lawrence; Diamond Ntakupa Million 68 kama Utamwacha Zari Aje Kulea Watoto Nyumbani.
Drama bado zinaendele katika mtandao wa Instagram na King Lawrance bado anaen...
Lawrence Muyanja; Zari Acha Kutembezi Uchi wako kwa Afrika njoo Uangalie Watoto wako.
Mitandao ya kijamii inaendelea kuleta bifu baina ya mastaa na safari hii ni zamu ya mpenzi wake na Daimond Platnumz, Zari The ...
Ex wa Zari Farouk Sempala hapendezwi na Uhusiano wa Zari na Diamond Platnumz.
Ex wa Zari the Boss Lady ambaye anajulikana kama Farouk Sempala amesema hapendezwi kabisa na mahusiano kati...
Picha za Show ya Diamond Platnumz Rwanda ndani ya Vibe Party.
Staa Diamond Platnumz ambaye jana alikuwa akipiga show kali pale nchin Rwanda akiwa na mpenzi wake Zari the Boss Lady na kwa mujibu wa mash...
Wema Sepetu Azungumzia Mahusiano ya Kimapenzi kati ya Diamond Platnumz na Zari The Boss Lady.
Staa Wema Sepetu amefunga vilivyo kuhusu mahasiano ya kati ya Aliyekuwa mpenzi wake Diamond Platnumz na Bilionare Zari The Boss Lady n...
Picha za Show ya Diamond Platnumz Jana Bujumbura ziko Hapa.
Staa Diamond Platnumz siku ya jana alikuwa Bujumbura ambako alikuwa akifanya show ambapo aliambatana na baby wake Zari The Boss Lady...
Picha za Mapokezi ya Diamond Platnumz Bujumbura ziko Hapa.
Msanii Diamond Platnumz ambaye kwa sasa yuko nchini Burundi katika kwenye jiji la Bujumbura kwa ajili ya show, nimefanikiwa kukuletea...
Picha za Diamond Platnumz Akimla Denda Zari The Boss Lady Mbele za Watu Ziko Hapa.
December 19 mwaka huu ndio ilikuwa ile show ya Zari huko Uganda na mgeni alikuwa Diamond Platnumz ambapo siku hiyo kulikuwa kuna vibw...
Kenya Wataka Diamond Platnumz Kurudiana Wema Sepetu na Kuacha na Zari The Boss Lady.
Siku ya Jana baada ya picha Diamond Platnumz kuvuja akiwa ndani ya lift akila denda na Zari The bos Lady mashabiki zake kutoka kenya wam...
Picha Zote za Kilichojiri Jana Kwenye Party ya Zari na Diamond Platnumz Kampala Ziko Hapa.
Usiku wa kuamkia leo Decemba 19 mjini Kampala ndio ilipokuwa ikifanyika ile party ya Zari AllWhite CirocParty ambapo ilifanyika katika moja...








