Diamond Platnumz na Zari    


Drama bado zinaendele katika mtandao wa Instagram na King Lawrance bado anaendelea kuponda uhusiano kati ya Diamond Platnumz na Zari, na safari hii ameamua kumpati zawadi nono Diamond Platnumz kama atamuacha ni dola za kimareka shiling 40,0000 ambazo ukibadili kwa pesa za kibongo ni kama shilingi million 68 hivi na kutoka Instagram aliandika 


king lawrence kumpa diamond million 68 kama atamuacha zari


Licha ya kwamba sisi tunajua kwamba ni Tajiri sana Hapa East Africa lakini King Lawarance ambaye ni mpenzi wake na Huddah Monroe amethibisha kwamba Zari ni Mtu wa kawaida na anakopa kama ilivyo kwa wengine na ametoa ushahidi wa Screenshot kutoka kwenye whatsap yake kama akionyesha Zari akimwomba pesa King Lawrence ushahi huu hapa chini 



king lawrence kumpa diamond million 68 kama atamuacha zari

Jamani picha bado linaendelea King lawarence anajaribu kuwaomba Diamond na Wema Sepetu wajaribu kumshauri Zari aliarudi nyumbani kuonana na watoto wake lakin baadae alitoa tag ya Wema Sepetu kwenye Instagram ushahidii huu hapa chini 


king lawrence kumpa diamond million 68 kama atamuacha zari 



Je Unataka usikose ubuyu wa habari moto basi tufuate kwenye kwenye mitandao ya kijamii kwa kubonyeza hapa Facebook Twitter na Instagram

Post a Comment

 
Top