davido  


Baada ya Diamond Platnumz kukanusha kuwa hakukuwa na bifu baina yake na Davido lakin leo kwenye Twitter limeibuka lingine na moja kwa moja likiwa linamlenga Diamond, Kutoka kwenye akaunti ya Twitter ya msanii Davido kutoka Nigeria ametweet maneno yanaonyesha kufedheheshwa na tabia ya Diamond Platnumz na laichokiandika hiki hapa chini 

"Niggas forget who helped them ..... So quick .... God don bless me I do my thing dey go keep my name out ur mouth !! WHO U DON HELP IDIOT!"

"Ur downfall is coming u bastard ungrateful broke fool!!"

Ushahidi wa picha huu hapa chini 


davido amtupia dongo diamond platnumz  




Je Unataka usikose ubuyu wa habari moto basi tufuate kwenye kwenye mitandao ya kijamii kwa kubonyeza hapa Facebook Twitter na Instagram

Post a Comment

 
Top