Ukisikia pesa mwanaharaum basi ndio style yake hii, week mbili zilizopita tulisikia story za King lawrence kumtukana matusi ya nguoni Zari The Boss Lady ambaye ni mpenzi wake na Msanii wa bongo fleva kutoka hapa Tanzania anayewakilisha vizuri kwenye Tuzo kubwa duniani kama MTV na zingine nyingi Diamond Platnumz, sasa King Lawrence bado anaendelea kusambaza ubuyu kwa kutoa picha zao wakiwa pamoja unafikiri nini kimemfanya zari kurudi kwa King Lawrence wakwati mategemeo ya wengi ilikuwa ni bifu kali kati yao hawa wawili.

Unataka usikose ubuyu wa habari moto basi tufuate kwenye kwenye mitandao ya kijamii kwa kubonyeza hapa Facebook Twitter na Instagram

Post a Comment

 
Top