Diamond Platnumz aliweka hii ikionyesha mimba ya Zari then akaitoa fasta lakini kumbe kuna watu waliionasa mapema na kufanikiwa kuipata, taarifa zilizopo kwenye mitandao mingi ya Uganda pamoja na hapa bongo ni kuhusu mimba ya Zari na Diamond  Platnumz 

Moja kati ya picha inaonyesha uhalisia kwamna picha hii ni ya mimba ya Zari ni inaonyesha umri wa Zari ambapo amezaliwa mwaka 1980 pamoja na jina la baba yake ambale ni Tlale




Unataka usikose ubuyu wa habari moto basi tufuate kwenye kwenye mitandao ya kijamii kwa kubonyeza hapa Facebook Twitter na Instagram

Post a Comment

 
Top