huddah monroe


Socialite Huddah Monroe kutoka Kenya baada ya ya kupata skendo kuwa ndie msichana malaya mwenye gharama zaidi zikiwa ni story zilizoletwa na Tajiri kutoka Uganda maarufu kama King Lawrence, Kuna story kutoka kwenye akaunt yake ya instagrama baada ya kuvuja kuwa umekwenda kupunguza matiti yake ili aonekana kama mtoto na kwenye comment hiyo ilikuwa inasomeka hivi  

nadine_bottom: Love the new friends you have there @huddahthebosschick

mitchellemoon: Two new friends from Thailand !! What are their names??

paletralina: You got your boobs done I can tell and you look amazing #huddahthebosschick


Picha zingine hizi hapa chini 


huddah monroe 



huddah monroe

Unataka usikose ubuyu wa habari moto basi tufuate kwenye kwenye mitandao ya kijamii kwa kubonyeza hapa Facebook Twitter na Instagram

Post a Comment

 
Top