Diamond Platnumz and Zari marriage


Siku chache zilizopita utakuwa umeona picha za ndoa ya Diamond Platnumz na Zari iliyofanyika kisiri kwenye mitandao ya kijamii. Kama ujuavyo ukishakuwa staa kuna watu wakuwa bega kwa bega na wew na utapata mawazo na comment Positive na negative kwenye mitandao ya kijamii. Na mmoja kati ya watu ambao hawakusupport ndoa ya Diamond na Zari ni King Lawrence. Utakuwa unakumbuka baadhi ya kashfa alizwahi kumpa Zari na kumita bed hopping woman ambaye anaweza kulala na mwanaume yeyeto kisa umaarufu. King Lawrence aliandika kwenye picha ya Diamond na Zari kuwa moja kati ya makosa makubwa aliyoyafanya Diamond ni kufunga ndoa na Zari. 

The marriage is a bad one that will not last long. “This is the biggest mistake that Diamond Platnumz will ever make,” 

King Lawrence ambaye ni rafiki mkubwa wa aliyekuwa mume wa Zari Ivan Ssemwanga.

Acha Ubuyu uendelee wakuuu mie ntakuletea chochote nikipatacho kwenye Instagram kuwa nami 

Ubuyu Extraodionary

Post a Comment

 
Top