wapenzi wakigombana facebookwapenzi wakigombana facebook



Lol.Kwenye Mitandao ya kijamii kama Facebook Instagram na Twitter kuna mambo sijui kama ulishawahi kuona wapenzi wakigombana ndani ya mitandao ya kijamii? hii  nimeona hii post kidogo nimeshtuka kidog na kushangaa.Msichana anatumia jina la Ovedje Blessing alipost picha ya Boyfriend wake wa zamani anayejulikana kwa jina Henry Emeka sasa baada ya rafiki yake Grace Adaobi Oraneli kuona alikuwa na yake ya kusema. Kisanga kikaja wacha mapigo ya ngumi za maneno yaanzeee lol 




wapenzi wakigombana facebook
04 Apr 2015

Post a Comment

Emoticon
:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

 
Top