wiz-khalifa-amber-rose-xxl-435x580




Rapper Wiz Khalifa mwenye umri wa miaka 27 ambaye siku ya jana zilivuma story za yeye kuachana na aliyekuwa mkewe Amber Rose,sasa mtandao wa TMZ umeriporipoti kuwa reality Star huyo yani Amber atachukua Dau la dollar za kimarekani shilingi 30 million sawa na 48,000,000,000 za kitanzania 
zikiwa kama ni malipo baada ya watu kutalikiana hapa Tanzania tunaita Talaka ambapo hata wao huwa wanauza mapka nyumba kama walijenga wakiwa pamoja hii ni nukuu kutoka mtandoa wa habari za mastaa unaojulikana kwa jina La TMZ 

"Amber Rose will score more than a million bucks from Wiz Khalifa … based on a long prenup she demanded before getting married … Amber made numerous demands in the prenup … which is more than 8 pages long. We’re told it’s because she will get more money in her 1-year-marriage than she would without a prenup.
She does have a problem. According to her legal docs, Amber wants spousal support in addition to her million bucks. Our sources say the prenup specifically denies her the right to spousal support, in return for getting the 1-time payout.Wiz is said to be worth $30million"





Post a Comment

 
Top