Mchungaji mmoja kutoka Nchini Africa Kusini aliyewahi kuwalisha waumini wake majani kipindi cha nyuma sasa amekuja na kali zaidia baada ya kuwapa waumin wake petrol ambayo hutumika kama nishati kwenye magari na kuwa kwamba ina ladha ya tunda liitwalo nanasi,Mchungaji huyu anajulikana kwa jina
Mch. Lesego Daniel maadai yake yeye ni kwamba kitu chochote kilichoko dunia ni mungu ndiye aliye kileta hivyo mwanadamu anaweza kula,Nimekulea Video ya siku aliyowapa majani hii hapa chini



Post a Comment

 
Top