Binti wa miaka 21 mwenye asili ya kimarekani aitwaye Jasmine Tridevil anayeishi katika jiji la Florida nchini marekani ameshare picha zake akionyesha akiwa na matiti matatu ambayo hilo moja alifanyiwa upasuaji na kuliongeza ambapo kwa mujibu wake yeye mwenyewe alifanya hivyo ili asitamanike ama kutamaniwa na wanaume,alizidi kuongeza kuwa alitumia zaidi ya dollar za kimarekani 
20,000 sawa na shilingi Million 32za kitanzani ili kukamilisha upasuaji huo,kupitia akaunti yake ya mtandao wa kijamii wa Facebook na nukuu

“I got the surgery because I wanted to turn off guys. I know it sounds crazy but I don’t want to date again ever. I still like to feel pretty. If I got a third breast implant most guys would think that’s weird and gross. But I can still feel pretty. I’m starting a reality show called Jasmine’s Jugs and my ultimate goal is to get it onto MTV. That’s my dream.”she wrote on FB 

Na hizi ni picha zake zingine




Post a Comment

 
Top