Ommy na Vanessa Mdee

Msanii Vannessa Mdee ambaye amechaguliwa kuwania tuzo za AFRIMA awards akiwa kachaguliwa kwenye kategori mbili moj kwa jina la BestEast African Female Artist and pamoja na Best RnB Soul kutoka hapa Tanzania,sasa nimekuletea moja kati ya picha zake akiwa stegini na Hit maker wa single ya Ndagushima Ommy Dimmpoz ambazo zimezua utata huu iambapo baadhi ya watu wanadai wawili hawa wanauhusiano wa kimapenzi zitazame hapa 



Ommy Dimpozi na Vanesa Mdee 








IMG_8121



Post a Comment

 
Top