Zari with Diamong Platnumz and Farouk Sempala




Ex wa Zari the Boss Lady ambaye anajulikana kama Farouk Sempala amesema hapendezwi kabisa na mahusiano kati ya  Zari na Diamond Platnumz. Zari ambaye ni mama wa watoto watatualikutana na Diamond Platnumz wakiwa Zimbabwe na hapo ndipo mapenzi yao yalipo chanua mpaka leo hii.



Farouk Sempala ambaye anaoneka kutokuwa katika hali ya kawaida toka ameachana na Zari licha ile show ya Zari ya White party kutokudhuhuria yeye alikuwa akigawa misaada kwenye vituo vya watoto yatima,

Hii ni post yake ya mwisho kwenye mitandao ya kijamii

"It's just natural for every village to produce two of it's finest products that's a village drunkard & a village fool.....The laws of natural justice fail to apply, only when one is both (The village's foolish drunkard). And when this kind is exported to urban settlement.....aaaaaaah kiyitilira. Because this is when the village surely misses.... it's ediot."

Baada ya Zari kuona post ya Ex wake naye akatupia hichi kitu 

 "This is the most Misunderstood project to go down in 2014." One fan, Trina Tina shot back saying that you stole Platnumz from Wema and you are seen kissing all the time and you say it's a misunderstood.


Unataka usikose ubuyu wa habari moto basi tufuate kwenye kwenye mitandao ya kijamii kwa kubonyeza hapa Facebook Twitter na Instagram 

Post a Comment

 
Top