Agness Masogange





Video Vixen mwenye makalio makubwa kuliko wote hapa bongo Agness Masogange ambaye kwa sasa ni raia wa South moja kwa moja mara baada ya kuukana uraia wa nchi yake aliyozaliwa, kutoka instagram amepost picha ya screenshot kutoka whatsap ikionyea alivyokuwa akichati na mpenzi wake ambaye alikuwa akimuonyesha picha ya gari aina ya Mercedes Benz 2014 
na hivi ndivyo ilivyokuwa kwenye mawasiliaon yao 



Agness Masogange 



Unataka usikose ubuyu wa habari moto basi tufuate kwenye kwenye mitandao ya kijamii kwa kubonyeza hapa Facebook Twitter na Instagram


Credit Udakuspecially

Post a Comment

 
Top