kajala masanja

Mwigizaji Kajala Masanja kutoka bongomovie ambaye ni mama wa mtoto mmoja anayejulikana kama Paula, kutoka kwenye akaunti ya instagram amekuwa akitupia picha zake ambazo zimekuwa zikionyesha baadhi ya sehemu zake za mapaja na kuwafanya wanaume wengi kubaki wakishangaa lakini hii ya leo imezidi ameamua kuonyesha chupi yake hizi hapa chini zitazame 

              kajala masanja 


              kajala masanja 


Unataka usikose ubuyu wa habari moto basi tufuate kwenye kwenye mitandao ya kijamii kwa kubonyeza hapa Facebook Twitter na Instagram

Post a Comment

 
Top