Polisi mmoja wa Kenya ameingia kwenye headline baada ya kupost picha kwenye mitandao ya kijamii ikionyesha pesa alizopata siku hiyo ikiwa kama hongo za barabarani.Polisi huyo ambaye ni ni traffic katika jiji la Nairobi alipost picha hiyo na kuandika hivi kwenye picha hiyo 

 "Ndo Kutoka Patrol Ya Usiku"


                    


Jeshi la polisi nchini Kenya limesema litamchukulia hatua polisi huyu hatua kali kwa kukiuka kanuni na taratibu za polisi 

Unataka usikose ubuyu wa habari moto basi tufuate kwenye kwenye mitandao ya kijamii kwa kubonyeza hapa Facebook Twitter na Instagram

Post a Comment

 
Top