Msanii Elizabeth Michael almaarufu kama Lulu jana ilikuwa ni sherehe ya mama yake ambapo alikuwa akitimiza miaka 45 toka amezaliwa ambpo ilifanyika ndani ya ukumbi wa hoteli ya Great Wall iliyopo Masaki, ilipofika saa ya zawadi Lulu alimzawadia jumba mama yake ambayo inasemekana ipo Kimara jijini Dar es salaam
Staa Flora Mvungi alivujisha ubuyu kidogo kwenye mtandao wa bongomovie na alisema haya
“Swirie really u killed it tonight..the outfit was marvelous.. I loved it.. It made you look more elegant.. Nice..and above all zawadi uliyompatia mumy was great..Hongera kwa kumpenda mumy wetu that much..lulu amemzawadia mam yake nyumba ambayo iko kimara..it's a very big house na Ni Nzuriiiii sana..it's a wonderful thing lulu..love your mother very much coz you can never get another.. Nawapendaaaa”
Lulu naye alikuwa na haya ya kusema
“Napenda kuwashukuru Wote walio mtakia heri ya kuzaliwa mama angu,nawashukuru wote mlioweza ku dedicate muda wenu mkakubali mualiko Na mkafika ktk sherehe maalum iliyoandaliwa kwaajili yake.Najua nina Ndugu,jamaa,marafiki ma mashabiki wengi japo ni wachache tu walioweza kuwepo jana Lkn bdo naamini kwa namna moja au nyingine kila mmoja wenu alikuwa sehemu Ya sherehe Hata kama hakuwepo eneo la tukio Mwisho kabisa Mama Lulu kwa Jina lingine Dada wa Rwechungura amesema niwashukuru kwa niaba yake”
Post a Comment