Mwanasiasa mmoja kutoka Kenya ambaye, ambaye amekuwa na tabia ya mate kumtoka mara tu pale aonapo chupi (mwanamke) sasa yamemtokea puani baada ya kukutana na mjanja wa mjini na kumiliza hasa.
Mwanasiasi huyu aliwahi kutusi Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta alikodisha chumba katika hotel moja iliyopo katika mji wa Nairobi na kuingia na mrembo ambaye alikuwa akifanya biashara ya ngono alamaarufu kama makahaba ili aweze kufanya nae kwa siku hiyo nzima.
Baada ya wao kumaliza kufanya ngono na kahaba huyu mwanasheria huyo alishutuka baada ya kumpa vitisho kuwa atarepoti kwenye vyombo vya habari ambapo wakati wakiwa wanafanya mapenzi kahaba alikuwa akichukua picha aina ya selfie kwenye simu yake.
Ikabidi mheshimiwa huyo aombe na ajaribu kumuliza unataka nin nikupe ndipo kahaba huyo alipo dai shilingi 1 million ya kenya ambayo ni sawa na Million 10 za kitanzania la sivyo ataipeleka kwenye media picha hizo
Ndipo mheshimiwa huyo alipoamua kumpatia pesa yake ili amweche akae kwa amani kabisa, hii style kwa kenya imekuwa ikiendelea kuwa kubwa kila siku
Post a Comment